Waruuli

Waruuli ni kabila la Kibantu linaloishi magharibi kwa ziwa Kyoga, Uganda (wilaya ya Nakasongola na Wilaya ya Masindi, lakini pia Wilaya ya Amolatar na Wilaya ya Luweero).

Lugha yao ni Kiruuli

Wanakadiriwa kuwa watu 232,000 hivi.

Leo wengi wao ni Wakristo.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search